Sio rahisi hivyo kuachana na mapenzi, atafute mbadala tuKazi uliyonayo sasa ni muhimu sana hivyo focus kwenye kazi utengeneze life yako... Achana na mapenzi hayakuongezei kitu zaidi ya stress
Hii ni alert tosha kukuonesha hutakiwi. Labda huyo anayeongea naye amesababisha umepata kazi. Piga kazi tengeneza maisha yakowanaongea story za mapenzi mbele yangu
Fanya same shit hapo hapo kazini, dawa ya moto ni motoHello jf natumai mko poa...Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza Sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi Yao kitengo alichopo nikaanza kazi
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke Fulani hapa kazini nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani
Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nn?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi
Ushauri tafadhalini nitumie njia gani na Mimi nimuumize aache kunisumbua
Na Mimi nilimueleza kua tukifanya kazi sehemu moja italeta shidaNiliwahi kugombana na wife kisa nilimbania mdogo wake kumpa mchongo ulikuwa ndani ya uwezo wangu ofisini.
Nilimwambia live sitaki kuwa mnafiki kufanya kazi na ndg sehemu moja ni majungu. Huyo shem nikamtafutia sehemu nyingine. Sasa nashangaa huyo mpenzi wako kukubali mfanye kazi sehemu moja
DuhHii ni alert tosha kukuonesha hutakiwi. Labda huyo anayeongea naye amesababisha umepata kazi. Piga kazi tengeneza maisha yako
Nipo dar es salaamuko wapi
pokea simuNipo dar es salaam
Kwa hiyo unataka kuniambia hatoki na huyo demuKuna bidada alilia sababu ya alarm ya simu. Inaita mwamba ana snooze anaendelea kulala kachoka kuamka kusoma.
Baada ya masaa 2 anaamka anakuta mtu Amalia kakaa sakafuni.. eti mademu wako wankupigia unaikaba Koo simu.
Acha wivu wa kitoto. Hakuna lolote zaidi ya wivu. Acha awasaidie watu.
Nampenda jamaniiiiKama hataki kuacha basi mwache yeye. Au wewe ndio una shida naye zaidi?
Ulifanya uamuzi wa busara chiefNiliwahi kugombana na wife kisa nilimbania mdogo wake kumpa mchongo ulikuwa ndani ya uwezo wangu ofisini.
Nilimwambia live sitaki kuwa mnafiki kufanya kazi na ndg sehemu moja ni majungu. Huyo shem nikamtafutia sehemu nyingine. Sasa nashangaa huyo mpenzi wako kukubali mfanye kazi sehemu moja