Naombeni ushauri wenu wana jf!,Nina gf wangu Anatokea Dar anakuja Mwanza na ndege ya mchana huu, cha ajabu nimemwambia kuwa nakuja kukupokea AIPORT amenikatalia anadai nisiende tutaonana nyumbani! Kanipigia tena ananiuliza et kama nimechukia!,
Asanteni kwa mchango wenu wa mawazo! Shemeji/wifi yenu walikuja ndugu zake pale uwanjani,ila gharama za kuja mwanza nilikuwa nimetoa mwenyewe ili awahi kufika! Kuhusu kuzuiwa CJATAMBULISHWA RASMI! Asanteni sana!
pole sana coz hapo atakuwa yupo mwanza tangu juma 3 au last week kabisa!! ama anatua na mtu aliyempa nauli na ame mwambia anafikia kwa dada, mama mdogo au shangazi!!
pole sana coz hapo atakuwa yupo mwanza tangu juma 3 au last week kabisa!! ama anatua na mtu aliyempa nauli na ame mwambia anafikia kwa dada, mama mdogo au shangazi!!
Kakupnguzia gharama za kwenda airport, we msubiri si anakuja kwako? halafu vitu vidovidogo kama hivi ya nini kuvileta janvini?. Jiunze kuhandle issues zako mwenyewe kwanza kabla hujashrikisha wngine.