Kuna mmoja Jana kanambia anamimba yamtu mwingine kutaka kujua jinsi gan nitafanya ,,mwenyewe akili zangu nazijua ,,nikamjibu " Sawa Zaa tu "" alafu nikakaa kimya ,,, toka Jana usiku anamsumbua mama yangu eti amuombe msamaha ..nasina tena mpango !!!

Aaaahhhh mkuu unashangaa ,, unamvalisha mtu,, unamlisha ,,unahudumia km mtoto mdogo ,,alafu anapoleta swaga za kupima eti km unampenda au lay Kwa ujinga, nikufanya kitu ili nayeye atakapokua anawaza ahisi kabisa kua ni Mpotezaji.

Mkuu unajua nn ,,ukiona mwanamke anakuambia ivo ni either keshauza gem so anataka kujua utafanya nn ukujua sio yako ,, au ndo anategemea kupeleka mzigo uliwe ...au Anakupima tu ..lkn sasa kupimana pimana mambo yakishamba .....
Nmeblock kila mahali ..HATA sasa ivi sipokei namba ngen.