estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Nahirat
Anataka tumshauri. Kwanza hatujajua jinsia yake. Alafu hatujajua tabia nizipi zaajabuNahirat
Huyo kwny picha niwewe?!
Bado wiki 2 UE ianze baadhi ya vyuo
Nina kihadithi nataka nikuambieAnataka tumshauri. Kwanza hatujajua jinsia yake. Alafu hatujajua tabia nizipi zaajabu
Sent using Jamii Forums mobile app