mkuu mwenyewe
Member
- Nov 23, 2013
- 22
- 1
una masters na jobless!!Uwiiiii
nicheck kwa email yangu kibaridi@hotmail.com
Mbona kama una hasira ndugu? Aaaah,umeniogopesha sasa
I dont like useless people hapa jf,ukipost wao wanacomment upuuzi, if mtu hata amekosea kuandika au kujieleza, ongea kiustaarabu....
Uko jobless kiaje?
Sawa una master! Bila ya kazi hiyo masta yako ni bureeee!
Tena unasema hata akiwa hajaajiriwa?
Tena unamtaka kwa hiko kipindi chako cha ujobless!
Namashaka na Master yako!