Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
Bora wa kwako ana marafiki wa mbali anaochat nao.
Mie wa kwangu alikuwa anachat na watu waliopo hapahapa TZ. Kuitana sweety,mpenzi,darling na hao watu ilikuwa ni kawaida kwake, ukimuuliza anakwambia anakwambia ni maneno ya kawaida.
Ila kuna siku nkakuta njemba imemtumia msg ya kumpongeza kwa kumkatia mauno vuzuri kunako 6*6.
So ndugu yangu anza kuangalia chanel nyingine mapema. Hiyo ni dalili ya kukuchoka.
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
Unapaswa kulihofia penzi lako maana hao ni wa fb...vipi kuhusu wa mtaani? halafu ina maana gani kuwasiliana na watu mpaka kufikia stage ya kuanza kuitana sweety? tabia hiyo aiache mara 1 na siyo vizuri...akiendelea utampoteza am sure ( my experience) halafu yapaswa utambue sisi ni waafrika hatunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume nakwambia hivyo coz kipindi nilipokuwa player nikikosaga zabibu wale ambao walikuwa karibu yangu nilikuwa nawadonoa sikuhitaji hata kuwatongoza...wanakuwaga na huruma sana!!! hivyo ilikuwa rahisi sana kujilia pweza wangu gizani...
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
If ke humuamini, jiepushe na upekuzi upekuzi utaumia bureeeeee!
Jiamini tu!
Hakikisha unatimiza wajibu wako kwake!
Akisaliti tafuta wengine! Wapo kibwena!