OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 May 27, 2012 #1 Wana JF! heshima kwenu naomba kujuzwa kama mheshimiwa Mpendazoe alikata rufaa kwenye kesi yake ya kupinga matokea ya ubunge segerea au amekubaliana na zile dhuluma za wazi wazi!!nawasilisha!
Wana JF! heshima kwenu naomba kujuzwa kama mheshimiwa Mpendazoe alikata rufaa kwenye kesi yake ya kupinga matokea ya ubunge segerea au amekubaliana na zile dhuluma za wazi wazi!!nawasilisha!