Jamani habari zenu. Naandika poat hii mikono ikitetemeka yasije yakanitokea yale yaliyonitokea kwa Mwanamalundi. Huyu dada yetu afrodenzi mbona haonekani kabisa kwa muda mrefu? Nakumbuka sana pale mdau akisema ana birthday, Afrodenzi anampamba kwa maua na mashamsham ya rangi za kupendeza ajabu. Sasa hivi kwa kuwa hayupo,
birthdays zinazubaa sana.
afrodenzi, hebu tokeza vuup kama alivyofanya Mwanamalundi nilipomsema.

Very serious indeed Mwanamalundi. I miss her a lot.Aisee, this is serious now!
Hapana ladyfurahia. Bishanga kanidokeza kuwa afrodenz yupo kwenye fungate.mm sijui labda tumuulize Boflo uenda kamtorosha hapa?
Alaa kumbe! Aisee kama ni kweli, Finest kapata kitu poa sana! Hongera zao
hahahahaha chezeiya The Finest.... sweetlady mwambie yule rafiki yako mpenda vibabu kuwa The Finest anamsalimia.
Hapana Nivea! Mwanamalundi ni Mwanamalundi na Hygeia ni Hygeia! Watu wawili tofauti kabisa kabisa.Umemwona Mwanamalundi lakini alivyotokea vuuuuup hahaha was kwanza kukoment nahisi ni id yako mwenyewe