madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 860
Nipo kwenye daladala naelekea nyumbani nikakandwe maji ya motoHujapigwa mpaka kufa wee
Umepata wap Muda wa kuandika Huu upuuzi
Mkuu daby dah wacha kidogo nikapumzike baadae nitakuelezeaWamekufanyaje mkuu na ulionyesha uhuni gani?
Mmh haa wananchi wana hasira walee kama hawakuzaliwaPole mkuu hizi ni enz za maguful
Nilitaka kuchukua kwa wizi sina uzoefuKwani uliiba?
mkuu acha kumlazimsha majibuKwani uliiba?
umeandika nini sasa mrs bashite himself? full kukurupukaKuna kitu huwa sielewi, mtu anajua kuna sikukuu itakuja kwanini huwa hamjipangi kuanza kununua mapema na kusubiri hafi siku ya mwisho!?
Sasa inabidi uanze kujibadili, ukijua kuna sikukuu miezi labda miwili mitatu ijayo, ukaanza kununua moja moja hata wiki 4 kabla unakuwa umemaliza halafu unafikiria matumbo yatakula nini.
Hii kitu napenda sana kuwashauri wanaooenda kulalamika haswa kwenye kuishiwa oesa, au kutokuwa na pesa ya kutosha. Kwanza utaepuka mengi na eala hautaona kama umenunua kitu au kutumia pesa nyingi.
Yaani mfano mimi ni mmoenda kununua vitu vizuri, hivyo naaminia quality sana na brands. Kwangu nitanunua ili sizije kuisha na pia naonaga inanipunguzia presha siku nikiona zinahitajika naweza kuchagua kabatini zikavalika.
Kwa wengi huwa nawapa darasa hata wafanyakazi jinsi ya kanunuzi na wanafurahia sana sana na watu wao.
Napita, umejifunza sasa siku nyingine utajua la kufanya. Pole
Aksante mkuuKuna kitu huwa sielewi, mtu anajua kuna sikukuu itakuja kwanini huwa hamjipangi kuanza kununua mapema na kusubiri hafi siku ya mwisho!?
Sasa inabidi uanze kujibadili, ukijua kuna sikukuu miezi labda miwili mitatu ijayo, ukaanza kununua moja moja hata wiki 4 kabla unakuwa umemaliza halafu unafikiria matumbo yatakula nini.
Hii kitu napenda sana kuwashauri wanaooenda kulalamika haswa kwenye kuishiwa oesa, au kutokuwa na pesa ya kutosha. Kwanza utaepuka mengi na eala hautaona kama umenunua kitu au kutumia pesa nyingi.
Yaani mfano mimi ni mmoenda kununua vitu vizuri, hivyo naaminia quality sana na brands. Kwangu nitanunua ili sizije kuisha na pia naonaga inanipunguzia presha siku nikiona zinahitajika naweza kuchagua kabatini zikavalika.
Kwa wengi huwa nawapa darasa hata wafanyakazi jinsi ya kanunuzi na wanafurahia sana sana na watu wao.
Napita, umejifunza sasa siku nyingine utajua la kufanya. Pole
Ndio kwenye mishe zangu huko kkoomtoto wa chini ya miaka mitano anajua nguo mpya au ya zamani?
lazima kuwanunulia siku ya sikukuu?
lazima muende kkoo?