Mpaka leo Sijaona uzuri wa Curved TV Ukilinganisha na Smart Flat TV

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Nmejaribu sana kuangalia uzuri wake au ukisasa wake sijaona. Home mzee aliinunua Samsung Inch 49 Smart Curved TV. nmejaribu mara kadhaa kwenda weekend kuichunguza chunguza sijaona cha kunivutia.

Basi nikajinunulia inch 52 Smart Tv Flat Screen naenjoy Maisha. Full HD ,Blu Ray na Udambwi Dambwi mwingi sana.

Labda wataalam mnambie Uzuri wa Curved TV ni nini?
 
Asante kwa mrejesho hata mini nilidhania ni kali kumbe hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labla angekuja Magufuli atuambie uzuri wake, maana kwenye mechi ya taifa star na uganda nilimwona akiangalia kupitia hii tv
 
Kimsingi tofauti ya Flat na Curved TV kama ni za series/version moja ni ndogo sana. Picture quality, color reproduction etc. Kuna wanaosema curved ina viewing angles nzuri but kisayansi ni hoja dhaifu. Kitu cha pekee kuhusu curved screen ni ule mkunjo unaleta "wooow" factor, ina draw attention ikikaa sebuleni but changamoto zake kw mfano haipendezi kuweka ukutani kma flat TV zinavyoblend vzuri na sebule.

Mwisho wa siku kila consumer ana choices zake, no hard feelings.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks bro It"s just a wooow factor nothing more nothing less.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can summarize all this in one sentence, "A Curved screen is more of a marketing cosmetic than a real innovation!"
 
Personally ulichokiona ndio hata mimi nilichokiona. Nilikuwa na option ya kuchagua kati ya curved na flat screen kipindi nanunua screen.

I went for the flat as most preffered styling, kimsingi TV inakuwa ileile hamna cha ziada zaidi ya ule mkunjo tu. Ila kwangu navutiwa zaidi na Panel ikiwa flat inakaa vyema mahali popote utapoiweka.

Kingine naona Curved zilikuwa meant kwa watu wenye living room ambazo zina curves, unaweza iweka kwenye corner kisha ukawa unaitazama diagonally. Ila wabongo unakuta kanunua curved screen kisha anaiweka mezani tu au anaitundika kwenye flat surface....unabaki kushangaa tu! Kibaya zaidi haikaagi vizuri kama flat.
 

curved ilitengenezwa kwa ajili ya 4d stimulation games kimatumizi lakini kutokana na watu kutaka kwenda na wakati bila kujua acha wakurupuke tu
 
Wadau iv kati ya izi brqnd za heifa na hisensi ipi ni kali sana natakannichukue kitu cha LED maana nasikia smart huwa zinakufa kioo mapema alafu kioo kupqtikana ni kipengele ....Je ni kweli wadau
 
Wadau iv kati ya izi brqnd za heifa na hisensi ipi ni kali sana natakannichukue kitu cha LED maana nasikia smart huwa zinakufa kioo mapema alafu kioo kupqtikana ni kipengele ....Je ni kweli wadau
Kwanini usibebe TCL mkuu iko poa sana mbadala wa HITACHI na nadhani unaelewa kipindi hiko HITACHI habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…