Wewe Muumini unaenda kanisani kusali...Kanisani unasali tu lkn katika kuhudhuria kwako kuna wakati unaona mawazo yako yako mbali sana na Ibada au tuseme moyo wako haukpo pale ibadani...baada ya ibada unajiona unatoka kapa vile...hali hii mi naona kama unadanganya vile nafsini!! Sijui imeeleweka mpaka hapo Byendangwero?
Wakuu nahisi bora Jukwaa la Dini lingewekwa wazi kwa wote ili mambo kama haya yawekwe huko na kuhakikisha kuwa kila mwanachama anaweza kuchangia ili kuondowa hili suala la uvamizi huku kusikohusu mambo ya dini. Huku ni kueneza udini JF.