Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Ndoa ndio msingi wa familiabosi asikupende sana wewe ila aipende ndoa yake ivi?
kwamba ndoa kuna vitu 2 kumpenda ndoa na kumpenda mke?
ivi ndoa anaumbo gani ?
Usicheke simanzi ya mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe🤔🤔🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]