namkubali sana huyu jamaa,sometimes naamini hata ukimpeleka jeshini akawa general na apiganishe vita ni imani yangu mtashinda hio vita.Mimi kwenye mpira sishabikii timu ila ninamshabikia Mtu mmoja anaitwa Jose Mourinho...popote alipo ndo timu yangu hyo..akifukuzwa nahama nae...Jamaa namkubali sana, akiwepo kwenye bench la ufundi ndo furaha yangu..ni mpambanaji asiyekubali kushindwa anakaza mpak mwisho...penye ushindani ndo anapapenda...ana uwezo mkubwa wa kutambua mahali penye tatizo wakat game inaendelea...yeye ni master of tactics..bingwa wa mikakati ya ushindi japo ladha ya mpira hana....kwa makocha ambao hawajastaaf yupo nyuma ya carlo Anceloti tu...
Achana nae kilaza huyoKama unajua mpira bora ukae kimya..la sivyo utajifanya unajua kumbe hujui mwisho wa siku ni aibu
UEFA unveil their Top 10 greatest managers of all time
Hata Mvua ina dalili!!!Hizi sifa zinastahili zitolewe kuanzia mwakani mwezi wa nne hivi na kuendelea. Kwa sasa bado ni mapema sana hizi sifa kutolewa.
mechi ndogo ndio zenye kukupa ushindiman u pekee haijacheza mechi kubwa ht moja
gadiola yupi wa SPAIN au ENGLANDmbele ya Pep Guardiola atabakia kuwa kibonde na mtumwa daima.
Ninachomkubali Mou ni kwamba huwa hakubali kufungwa mara mbili mfululizo.Nitajie kocha yeyte asiye mtumwa kwa Guardiola? Hata hvyo mbal na ubora wote alionao Guardiola bado hayupo kwenye top ten ya makocha bora wa mda wote but mourinho yupo...Mourinho akikaa na timu miaka miwili..guardiola huwa hachomoki (utajionea mwaka huu pia) msimu wa kwanza ndo guardiola huwa anamfunga mourinho timu inakuwa haijakaa sawa kuithibiti pressing ya Guardiola...Mkuu nilikuacha kwnye uzi wa Chealsea naona na huku umeniandama..okey
Umeongea kifupi sana lakini huo ndio ukweli. Huwa nawaza hawa makocha bila ya Pesa za kutosha ingekuwaje. Angalia Guardiola msimu uliopita alivyo haha kuitafuta top 4. Na Angalia anavyosota.kocha bora ni Sir. Alex Ferguson pekee hao wengine ni ujanja ujanja tu na kubebwa na mastaa
mourinho ni sawa sawa na julio ni muhamasishaji sio kocha
guardiola na zidane wanabebwa na ubora wa vikosi vyao
Hakuna kocha kama babu ferg duniani,yule mzee alikuwa ni moto wa kuotea mbaliUmeongea kifupi sana lakini huo ndio ukweli. Huwa nawaza hawa makocha bila ya Pesa za kutosha ingekuwaje. Angalia Guardiola msimu uliopita alivyo haha kuitafuta top 4. Na Angalia anavyosota.
Rafael Benitez sasa hazungumzwi kwakua anafundisha Newcastle lakini angekuwa nafundisha timu kubwa tungemsikia humu. Makocha wakubwa ni kwasababu ya wachezaji wakubwa.
Ferguson ni mfano mzuri wa aliyekuwa kocha bora angalia msimu wa mwisho kufundisha Man U alifanya nn ukiangalia kikosi chake.
Game ya Liverpool matokeo tunayo mfukoni.ungesubiri baada ya game ya liva uje kuandika hapa
vipi akiwa Madrid hajawahi kufungwa na Guardiola mara mbili mfululizo?Ninachomkubali Mou ni kwamba huwa hakubali kufungwa mara mbili mfululizo.
Mfano.
1. Angalia mechi na Man City msimu ulioisha
2. Angalia mechi na Chelsea msimu ulio isha.
kwani kuna guardiola mwengine unaemfahamu wewe?gadiola yupi wa SPAIN au ENGLAND
wengerNitajie kocha yeyte asiye mtumwa kwa Guardiola? Hata hvyo mbal na ubora wote alionao Guardiola bado hayupo kwenye top ten ya makocha bora wa mda wote but mourinho yupo...Mourinho akikaa na timu miaka miwili..guardiola huwa hachomoki (utajionea mwaka huu pia) msimu wa kwanza ndo guardiola huwa anamfunga mourinho timu inakuwa haijakaa sawa kuithibiti pressing ya Guardiola...Mkuu nilikuacha kwnye uzi wa Chealsea naona na huku umeniandama..okey
hivi mourinho wa Chelsea 2004 na wa man u Leo wana tofauti gani!?..hakuna mwalimu mule,MTU anakomalia kukaba tu miaka 13!Ila hakuna kocha anaejiamini kama Jose Mourinho
Katika maisha ni kukomaa na unachokiamini hata kama wengne wanaamini huwezi...Maghufuli hana kipaji cha uongozi bali ni mzuri ktk usimamizi...hata hvyo misimamo yake mbali na kuyumbishwa na kukatishwa tamaa ndo imemfikisha hapo alipo akiwatupa mbali watu wenye vipaji vya kuongoza huku yeye akionekana kama dhahabu safi iliyosalia....ni kweli mou sio mzuri kwny kumiliki mpira, istoshe hajacheza mpira kwa mafanikio kama makocha wengne...kinachombeba anajua sana jins ya kupata matokeo ktk wakat ambapo anayahtaji sana....ndo mana wazungu wanasema "Guardiola is an innovator while Mourinho is master of strategy" Mourinho anajiamini sana (sifa ya mtu mwenye mafanikio) na sku zote yeye anapenda kupambna na yule ambaye ni bora zaidi yake ili na yeye awe bora(pagumu ndo anapopahtaji)... Guardiola alimfunga sana mou wakiwa wote spain hata hvyo mou alikomaa akitumia kila mbinu bila kukata tamaa mpak njia ilipoonekana nyeupe na Guardiola kuamua kuachia ngazi....Kwa sasa mpira ni biashara na mou ni bora ktk hilo na ndo mana kuna timu hapo zimesubir tu afukuzwe manchester zidake signature yake (ikiwemo chelsea ad Madrid)....ktka safar ya mafanikio ni marufuku kukata tamaa haijarishi unakosea mara ngap na watu wanakuchukuliaje...hivi mourinho wa Chelsea 2004 na wa man u Leo wana tofauti gani!?..hakuna mwalimu mule,MTU anakomalia kukaba tu miaka 13!