katika mechi ya juzi lukaku romelu striker mdogo wa chelsea kaisaidia timu ya taifa ya ubelgiji kufudhu kwenda kushiriki kombe la dunia 2014 cha ajabu kocha wa chelsea jose mourinho haoni faida yake na kazi yake anawachezesha wazee ambo creativity ability yao imekufa mtu kama etoo au torres au ba badala ya kuwatumia vijana kama huyo LUKAKU inabidi abadilike awe mpenda maendeleo sio kuendekeza urafiki tu..........
fbullet kila kocha anawachezaji wake,muangalie Kagawa akiwa dotmund,sasa man united,hakuna kijiji kisichokuwa na wazee,angalia timu kama juventus karibu wachezaji wote ni wazee mpira wanaocheza mpaka wanachukua vikombe,usihofu kamanda.