Moto waendelea kuwaka CCM

CCM wana usiri mkubwa wa chaguzi za wagombe kiasi huwezi jua wanatumia formula gani.
Ukisikia wametaka wakazi ndio wagombea ujue wanataka kufanya mapinduzi makubwa ndani ya chama na bunge,kwa namna mmoja au nyingine wanaunda CCM proactive,ambayo itakuwa imejivua gamba au imejivika gamba kwa siku za mbeleni.
Wanatengeza mvuto wa wapiga kura kuwachagua wakazi kwani wakazi ndio wapo karibu na wapiga kura.Wingi wa madiwani na wabunge ndio wenye serikali,ndio wenye bunge.
Navyo vyama pinzani vianze kuwatafuta wapinzani wa kweli huko mashinani kwenye makazi kwa kuandaa kwa chaguzi za mbeleni.
CCM wameshtuka kugangania heavy weight candidates wanaleta impact kubwa wanapojiondoa kwenye chama kama akina Lowassa.
 
Kwa hili namuunga mkono Pole pole 100%.Simple logic inataka mbunge awe mkazi wa jimbo analotaka kuliwakilisha for very obvious reasons.Sijui kwa nini WaTZ huwa tunashindwa ku-differentiate between black and white.We are extremely illogical people. Ndhani huhitaji PhD kuliona hili.
 
Sipo interested na CCM ila afadhali wao wanauwezo wa kukosoana na kurekebishana wenyewe kwa wenyewe.Katiba yao pia siyo mbaya na ndio sababu toka 2004 hadi leo 2017 tushashuhudia wakiongozwa na wenyeviti taifa watatu tofauti.
Lakin pia wewe ni mnafiki tu. Na unafiki wako unabebwa na uwasilishaji wako wa hoja.
 
Ccm wangependa utaratibu wa vyama kubadili badili wenyeviti ili wavizie chama kama cdm wapate m/kiti legelege (Lipumba Type) kusudi awauzie chama kwa Wholesale.
 

Siku hizi umekuwa repota wa CCM? Kule kwingine vipi au majivu yamebaki?
 
Kule mwanga kuna wafanyakazi wanne waligombea na kushinda chama cha wakulima na wafanyakazi kama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…