Moto Mkubwa Vingunguti.

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,949
Reaction score
5,399
Moto mkubwa unawaka muda huu hapa katika ghala la kampuni ya daftari na vitabu (simba)iliyopo barabara ya nyerere eneo la vingunguti pembeni ya kiwanda cha pepsi na living room. Jitihada za kuzima zinaendelea vikosi cha zimamoto cha jiji n ultimate security. Chanzo hakijafahamika. Hasara ni kubwa sana kwani mashuhuda wanasema moto umeanza tangu saa 5:30 usiku hadi muda huu saa 9 bado unaendelea kuwaka.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nina wasiwasi umeme wa Tanesco ndii ikawa chanzo...
 
umeme wa TANESCO ndio Chanzo,so hata dhaifu anapojisifia asisahau na hili ambalo serikali yake hailioni. mwezi wa tisa tu hapo hapo vingunguti kibao watu waliunguziwa vitu vya ndani,so hata hili sina shaka ni hao hao na chomeka chomoa yao ya bila hadhari. pole kwa wahanga ie hiyo kampuni.
 
Aiseeee inasikitisha sana hii mioto inalipuka kila siku na kuacha watu na umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…