Introvert22
Member
- Jan 7, 2022
- 7
- 14
[emoji2]Ah kitabu Natakiwa kuuliza Mimi, sio wao ohh kwa elfu 2500 pata soft copyUnAtk upewe kitabu bure mkuu...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana Mr msonjo; Basi tuNaona umekeleka sana[emoji1][emoji1]
[emoji2][emoji2] uongo mtupu, Yani siwezi kukaa kumsikiliza motivation wa TANZANIA. Ni waongo sanaKuna mwalimu wangu wa university aliwahi kutuambia Kuna rafiki anamiliki hoteli 4stars Alianza kwa mahindi ya kuchoma [emoji24][emoji24]
Yaani imekuwa Ni zaidi ya kero! Tena siku hizi wanauza vitabu kwa soft copy..
Mara utasikia njoo kwenye mafunzo kwa njia ya WhatsApp kwa mwezi elfu kumi..
Mara ooh wengine Ni watengeneza rogo za biashara utasikia elfu 20.
Yani siku hizi ukiona motivation speaker anatuma ujumbe Fulani ujue mwisho Kuna Biashara... Yani wamekuwa wauza vitabu kwa ujanja ujanja..
Vitabu vyenyewe wanakopy na kupast hakuna original message..
Waige wenzetu... Wao wananza kufanya motivation baada ya kufanikiwa... Sio wewe unanifunza kuhusu fedha alafu unauza kitabu 2500 aibu
Unataka utengenezewe logo ya biashara kwa shingi ngapi? Jero?Yaani imekuwa Ni zaidi ya kero! Tena siku hizi wanauza vitabu kwa soft copy.
Mara utasikia njoo kwenye mafunzo kwa njia ya WhatsApp kwa mwezi elfu kumi.
Mara ooh wengine Ni watengeneza rogo za biashara utasikia elfu 20.
Yani siku hizi ukiona motivation speaker anatuma ujumbe Fulani ujue mwisho Kuna Biashara... Yani wamekuwa wauza vitabu kwa ujanja ujanja.
Vitabu vyenyewe wanakopy na kupast hakuna original message.
Waige wenzetu... Wao wananza kufanya motivation baada ya kufanikiwa. Sio wewe unanifunza kuhusu fedha halafu unauza kitabu 2500 aibu.
Wajinga ndio waliwao.Yaani imekuwa Ni zaidi ya kero! Tena siku hizi wanauza vitabu kwa soft copy.
Mara utasikia njoo kwenye mafunzo kwa njia ya WhatsApp kwa mwezi elfu kumi.
Mara ooh wengine Ni watengeneza rogo za biashara utasikia elfu 20.
Yani siku hizi ukiona motivation speaker anatuma ujumbe Fulani ujue mwisho Kuna Biashara... Yani wamekuwa wauza vitabu kwa ujanja ujanja.
Vitabu vyenyewe wanakopy na kupast hakuna original message.
Waige wenzetu... Wao wananza kufanya motivation baada ya kufanikiwa. Sio wewe unanifunza kuhusu fedha halafu unauza kitabu 2500 aibu.
Shida ni pale wanapotulazimisha! Kama nikihitaji nikamfata lazima nilipe lkn siyo anifate na kunilazimisha. Wamekuwa kero.Unataka utengenezewe logo ya biashara kwa shingi ngapi? Jero?
Sijui kwanini watu hamthamini kazi za watu. Mtu anakutengenezea identity ya biashara wewe unachukulia poa tu