INAUZWA Mota mbili za HP 3

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.Ni za phase 3.

Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila moja.Angalia picha.Kama unazihitaji njoo 0688901124
 
Mkuu zipake walau rangi zivutie. Motor kweli zaweza kuwa ni nzima ila hazina mwonekano mzuri.

Hala hizo motor hebu weka speed zake na useme kama ni single au 3-phase
 
Zinafanya kazi gani ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…