EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Mapenzi ni kama michezo ya kubahatishaSidhani kama kuna anayependa akutane na mahusiano ya kupita tena kwa mtu aliyempenda kweli
Kujua kwamba anayekuja ni nice guy ama ni player ni ngumu...kwa anayeweza kugundua hilo basi atakuwa na maisha mazuri sana ya kimapenzi
Mnatamanigi wazee wa jim mabrazamen madini kibao shingoni akupeleke highspirit na samakisamaki. Mapenzi na mkaka handsome kuliko wewe unajidanganya tafuta ambaye kidoogo mnaendanaSidhani kama kuna anayependa akutane na mahusiano ya kupita tena kwa mtu aliyempenda kweli
Kujua kwamba anayekuja ni nice guy ama ni player ni ngumu...kwa anayeweza kugundua hilo basi atakuwa na maisha mazuri sana ya kimapenzi
Mapenzi ni kama michezo ya kubahatisha
Mnatamanigi wazee wa jim mabrazamen madini kibao shingoni akupeleke highspirit na samakisamaki. Mapenzi na mkaka handsome kuliko wewe unajidanganya tafuta ambaye kidoogo mnaendana
Tozi atakuliza tu
Mwenyewe dem mkaaali wala siweki rehani kamoyo kangu akinitunuku napokea halafu namsikilizia kimachale.[emoji851][emoji851]
Ukikataliwa move on tuMnatamanigi wazee wa jim mabrazamen madini kibao shingoni akupeleke highspirit na samakisamaki. Mapenzi na mkaka handsome kuliko wewe unajidanganya tafuta ambaye kidoogo mnaendana
Tozi atakuliza tu
Mwenyewe dem mkaaali wala siweki rehani kamoyo kangu akinitunuku napokea halafu namsikilizia kimachale.[emoji851][emoji851]
Hv mtu anavyokufuata kwa mara ya kwanza ww unajua kua ni mkweli yani hadi usimkatae?! Au wakweli wana alama usoniDear Ladies Listen.
Honestly some of you ladies are the cause of your problem.
A very nice guy [emoji6][emoji6]comes to you with all the sincerity of his heart and wooed you; he expresses love and kindness to you, yet you rejected him.[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
You say he is not handsome, you say he has no money, he is not tall, he is not your type bla bla bla.
But when a player comes [emoji41][emoji41]to woo you, you accept him because he told you sweet lies, he is handsome and good looking, pretending to be a nice guy.
You are more attracted to physical appearance[emoji1320][emoji1320] and sweet words[emoji1301][emoji1301], he drives Harrier Matako ya nyani[emoji604][emoji205]. You become carried away, you open your legs for him, he used you dumps you and shatters your heart into pieces. Now you are crying [emoji24][emoji24]that men are wicked.
NOW WHO IS TO BLAME? Is it you, the lover of lies and flashy things or the guy? Many ladies have missed their Mr. Right because they are searching for a tall, handsome and rich man.
Except you change from this mentality, you will always be used and dumped and end up marrying a man who will be punching you and cheating on you.
BE WISE. IM DONE!!
Good nightView attachment 1104070
nakupinga joanahSidhani kama kuna anayependa akutane na mahusiano ya kupita tena kwa mtu aliyempenda kweli
Kujua kwamba anayekuja ni nice guy ama ni player ni ngumu...kwa anayeweza kugundua hilo basi atakuwa na maisha mazuri sana ya kimapenzi
[emoji28][emoji28][emoji28]Uzi wa kingereze twendeni kwa kingereza zaidi
Most women make decision based on their mood and emotional, it is difficult to deals with these kind of species
Believe me, women use 1% of their brain for a lifetime
Hawana alamaHv mtu anavyokufuata kwa mara ya kwanza ww unajua kua ni mkweli yani hadi usimkatae?! Au wakweli wana alama usoni
Afu nikisema una IQ kubwa wanapingaSidhani kama kuna anayependa akutane na mahusiano ya kupita tena kwa mtu aliyempenda kweli
Kujua kwamba anayekuja ni nice guy ama ni player ni ngumu...kwa anayeweza kugundua hilo basi atakuwa na maisha mazuri sana ya kimapenzi
Hahahahhh muonekano wa mtu haudetermine matendo yake....naamini wapo hao mabrazamen,mahandsome wenye mapenzi ya kweli
Mhhh naona mtu kashakataliwa hivooo....
Ukikataliwa move on tu
Kila mtu na chaguo lake