kila mbunge aliyeshindwa kwenye uchaguzi IPO sababu iliyopelekea kushindwa kwake,kulingana na mleta mada kushindwa kwa mkosamali sababu ya msingi ni kupotoshwa na zitto.Na Kafulila, Wenje, Vicente, Mkosamali, nao wamedanganywa na Zitto?
CCM ndo wamechanganyikiwa!wamefuta matokeo baada ya kuona wanapigwa! polisi wameanza kuwachoka!Chadema wamechanganyikiwa
Chadema wamechanganyikiwa
ZITTO kairudisha KIGOMA chini ya himaya ya CCM..
Amefanikiwa sana kugawa kura za UPINZANI,ACT dhidi ya CCM.....
Kiama cha ZITTO kinakaribia na sasa hana cha kufanya ila ni kua kKIBARAKA wa CCM km alivyokua MREMA na CHEYO and lastly his part i mean ACT kitakufa kibudu km UDP na TLP....
R.I.P ACT
Naona wewe unajifanya unajua kila sababu za wabunge kushindwa haya anza kutufahamisha kushindwa kwa Mkosamali sababu ni zipi?kila mbunge aliyeshindwa kwenye uchaguzi IPO sababu iliyopelekea kushindwa kwake,kulingana na mleta mada kushindwa kwa mkosamali sababu ya msingi ni kupotoshwa na zitto.
Wewe mjinga sana unamchukia Zitto kwani unamlisha wachagaa bana.Namchukia Sana Zitto, hv mtu atapenyaje kuwa mbunge katikati ya miamba ya CHADEMA na ccm kupitia kachama kaduchu kama ACT? ogopa kitu chadema a political giant ever in tz since multpartism
Hivi Machemli na yeye vp? alishinda?
Wewe mjinga sana unamchukia Zitto kwani unamlisha wachagaa bana.
Na Kafulila, Wenje, Vicente, Mkosamali, nao wamedanganywa na Zitto?
Hatima yako ya kisiasa unaijua mwenyewe,Zitto Kabwe, kakulaghai ujiunge na ACT Wazalendo na hatimaye akupigie kampeni ili ushinde lakini umefeli.
Zitto alijiaminisha kuwa Kigoma yote ni yake kisiasa, pole sana Mosses Machali akili ya kuambiwa changanya na zako.