Mmmh! Ni kweli alikuwa mfitini?
Halafu hapo pa kutopikika chungu kimoja na Nimrod Mkono sijaelewa. Umesema Nimrod Mkono ni Mbunge, sasa aliwezaje ku interact na Mwalimu?
Au huyo Nimrod alikuwa head master?
Na je, Nimrod alikuwa akimuogopa pia Morega?