Huko ni sahihi kabisa; wacha wayauwe maana majitu mengine hayana tofauti na wanyama. Kutwa kucha wanawaza kuuwana tu kama mbwa mwitu wasio na akili. Badala ya kukaa kitako washikamane pamoja na kamba ya Mwenyezi Mungu wao ni kuchinjana tu! Narudia tena, ni sahihi kabisa wala sina huruma nao.