Ngoja waje wajibu maana umesema kwa wanawakeNi mke... uko nyumbani mchana mmoja.. ghafla anaingia mume wako akiwa anatweta jasho na kwa kumuangala vizuri unaona ana damu kwenye nguo na mwilini kiasi.. Anaingia ndani anakusimulia kilichotokea...
Kwamba deal na mshikaji wake halikwenda vizuri.. things got worse.. they fought and he killed him..
A short while after.. akiwa kesha oga na ku change. Polisi wanafika nyumbani kwako wanamchukua kama mtuhumiwa wa kukisiwa..
Kesi inasikilizwa mahakamani.. amekana mashitaka... na amekutaja wewe kuwa shahidi.. (alibi) wake kwamba wakati wa tukio mlikuwa wote nyumbani..
Unaitwa ujibu....[emoji15]
Je unapaswa kutoa ushahidi upi?
Moral Dilemma!Movie inaitwaje?!
Moral Dilema!
Mtanziko MaadiliKiswahil?!
Mtanziko Maadili
Halafu unajiita mtanzania wakati kiswahili hujui, tafuta dictionaryMtanziko?!...hapa umenidanganya
Halafu unajiita mtanzania wakati kiswahili hujui, tafuta dictionary
Kwenye common law jurisdictions nyingi kuna spousal privilege mke/mume akiwa na ushahidi mume/mke wake kavunja sheria anakubaliwa kukataa kutoa ushahidi dhidi ya mume/mke wake.Ni mke... uko nyumbani mchana mmoja.. ghafla anaingia mume wako akiwa anatweta jasho na kwa kumuangala vizuri unaona ana damu kwenye nguo na mwilini kiasi.. Anaingia ndani anakusimulia kilichotokea...
Kwamba deal na mshikaji wake halikwenda vizuri.. things got worse.. they fought and he killed him..
A short while after.. akiwa kesha oga na ku change. Polisi wanafika nyumbani kwako wanamchukua kama mtuhumiwa wa kukisiwa..
Kesi inasikilizwa mahakamani.. amekana mashitaka... na amekutaja wewe kuwa shahidi.. (alibi) wake kwamba wakati wa tukio mlikuwa wote nyumbani..
Unaitwa ujibu....[emoji15]
Je unapaswa kutoa ushahidi upi?
Haya bana, ila ndo hivyoHata Oni Sigala kalikataa hili neno
Haya bana, ila ndo hivyo
Ushaidi hapo ni kumlinda mmeo,wewe ulitakaje si kuihakikishia mahakama ya kwamba kweli nilikua nae nyumbani siku ya ilo tukio likitokea ukiwa mbunifu zaidi unaleta na uongo kuwa kweli...mahakama ipo kwaajili ya wanaojitetea...the stronger ua liar the more safer you create.....Ni mke... uko nyumbani mchana mmoja.. ghafla anaingia mume wako akiwa anatweta jasho na kwa kumuangala vizuri unaona ana damu kwenye nguo na mwilini kiasi.. Anaingia ndani anakusimulia kilichotokea...