Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

Muda wowote kuanzia sasa wahusika wote wa huu uhuni wa Monduli wanatarajiwa kuburuzwa mahakamani.
 
Huyu mtu anaitwa Kuruthum ndio wa kupotezwa kabisa.Amefanya uhuni sana kwenye huu uchaguzi.
 
Tusijali sana huu ndio mwendo wa watanzania hata kwetu nyasa Matokeo yalitangazwa,wananchi wakiwa wameshika mapanga mashoka mawe marungu na wakamweleza anae tangaza. Ukitangaza tofauti leo mwisho wako.Askari wakamweleza kwa hili hatukusaidii. Mheshimiwa wa chama kaya alizimia wakamwagia maji ndoo 5 baada ya kusikia msimamo wa wananchi.Hivyo hata huko inabidi watu wakatae kwa mwendo huu.Vinginevyo itafika mahali atashinda wakati hakuna aliye mchagua.Maana moja walitaka kumtangaza alipata kura 1 yaani hata mkewe hakumchagua wakaona aibu
 
Halafu anataka urais? akishinda urais nchi hii haitakaa ifanye uchaguzi tena bali itakuwa inafanya mazingaumbwe
 
Lowasa hawezi kufanya uhuni kwa sababu ni mpenda demokrasia. Labda huyo afisa mtendaji wa kata ya mto wa mbu darasa la saba ambaye hajitambui
 
Hizi ni cheche tu, bado kuna moto wa mambo lukuki ambayo watanzania hawajui kuhusu Lowasa. WanaMonduli tunahitaji kuona mkitumia vyema kalamu zenu kutoa CV halisi ya Bwana Lowasa kwa Watanzania ambayo itajikita kwenye "THE DARK SIDE OF LOWASA" ili watanzania watuelewe ni kwanini tunasema hafai kuwa hata Balozi wa nyumba 10.....
 
LEO tunaenda jangwani bado tuyaamini haya?
 

Crashwise, hata mwaka mmoja haujapita.
Je umeshazifuta hizi tuhuma dhidi ya boss wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…