Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

Nilipoona "uhuni wa ....." nikadhani mtu kashikwa ugoni kumbe ni njama zimetafsiriwa
 
Lowasa kwa taarifa hii,kura yangu sahau,ingawa mwanzo nilikuona jembe,sasa nafikiria jina la kukuita soon.
 
Yaani mnaposhindwa mnalalamika mmeonewa sehemulizoshinda hakuna tatizo acheni akili za kitoto
 
Yaani mnaposhindwa mnalalamika mmeonewa sehemulizoshinda hakuna tatizo acheni akili za kitoto

Wewe ni mpuuzi usiyejitambua, sehemu zote cdm iliposhinda ilitumia nguvu kubwa sana isivyo kawaida na kama uchaguzi ungekuwa huru na sawa basi cdm ingeshinda kwa kimbunga!
 
Acheni UJINGA, Why now Kwa nini hamkusema hayo yote kabla mnakuja na uzushi baada ya Matokeo
 
tatizo la chadema mnalalamika sana bila kuchukua hatua
mnao mawakili wengi mahiri kwa maelezo na vielelezo mlivyonavyo mna uwezo wa kufungua kesi na kushinda
huyo kuruthum kwanini alikuwa anawababaisha kwanini msiige mfano wa watu wa simiyu walivyochukua hatua hadi viongozi wa ccm waliopitishwa bila kugombea wakajitoa
Kwa ulegevu mnaounyesha ni ngumu kwenu kuiondoa madarakani msikubali mtu mmoja awababaishe anzeni sasa kumshugurikia huyo mtu
Arusha mjini na arumeru kwa nasari wamefanikiwa kwa kutumia nguvu ya umma
 
niwaombe viongozi wa CHADEMA popote pale walipo kuungana na hao wa Monduli kulaani kitendo hicho, na kukomaa ili haki ipatikane,kwakweli inatia uchungu sana kuona hayo yaliyotokea huko, Mwanaharakati toka Tarime Mara.
 
Acheni UJINGA, Why now Kwa nini hamkusema hayo yote kabla mnakuja na uzushi baada ya Matokeo

Tumia ubongo sasa wangesemaje kabla wakati uchaguzi ulikuwa bado kufanyika, baada ya uchaguzi ndo kumeonekana kasoro ndo maana wamezitaja, jaribu kutumia ubongo, MWANAHARAKATI TOKA TARIME MARA.
 

Sio hiyo tu matokeo ya uenyekiti kijiji cha migombani ndio tuliwapiga vizuri lakini kwakua walitumia nguvu na mabomu wakapora kura zetu matokeo yalikua kama ifuatavyo (Migombani chini CDM 83 CCM 49, Migombani kati CDM 99 CCM 53, Mlimani Park CDM 73 CCM 70, Migombani Juu CDM 71 CCM 48, Njoro CDM 42 CCM 23, Kirurumo CDM 65 CCM 40 Halafu wanakiri kusema wametushinda... hii ngoma ndio imeanza makamanda...
 
Lowassa anauwaza urais kwa siasa za kihuni namna hii?
Huyu ni mtu hatari sana kwa ukuaji wa demokrasia angekuwa na uwezo angewaua wapinzani wake wote Monduli.
Mtu kama huyu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.
 
kama ni kweli Lowasa amesimamia haya basi hafai na hii ni kutoka moyoni kwangu mimi nilikuwa nampigia kampeni kwa uraisi sasa kama ananyima watu haki yao huyu hatufai,ngoja tumpigie simu tumwambie
 
Monduli tuseme kweli na tuache kulalamika kihuni! CHADEMA wangeweza kushinda makuyuni na MTO Wa mmbu basis. Haya wengine haryana msingi! Tuwache kujidhalilisha bure mbona hamkumtuma Nasari kwenda Monduli kusimamia kura na nimzoefu Kyle?
 
Hivi hayupo humu jamvini ama wapambe wake humu wamfikishie taarifa, maana yawezekana zikawa ni harakati za kumchafua bwana Manywele tu.

vilevile ikijapita masaa zaidi ya 72 tangu uzi huu uchapishwe hapa jamvini na hakuna maelezo yeyote yale atakoyotolewa juu yake nitaamini kuwa ni ya kweli.

Nawaomba wadau wenye uwezo wa kuu copy uzi huu mumtupie katika akaunti yake ya facebuku.
 

Aaaaghh...!
 

Attachments

  • 1419088506633.jpg
    16.8 KB · Views: 101
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…