Mombasa unaipeleka wapi kenya yetu jaman!!

gerry ZaNtes

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
25
Reaction score
13
Kwann kila cku ni ww 2!ni nan aliyekuloga?hata umeona vyema kuungana na wana wa muas mkuu ibilis (al shabaab) ewe mombasa huoni jinsi damu ya wasio na hatia ikuliliavyo toka ardhini!bas na usiufanye moyo wako kuwa mgumu ukatubu na kumrudia Mungu aliye kuumba!kumbuka hakuna mwenye mamlaka juu ya mwanadam ila Mungu pekee!kisingizio cha jihad ni utumwa wa fikra na mtego wa Ibilis!achana nacho ewe mombasa!...takbiiiirrr!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…