Mwenye kutoa ufadhili amevichagua hivyo. Vigezo ni vyake, labda ameona ndo vyuo vyenye sifa kupeleka pesa yake huko. Labda wewe ungependekeza aongeze na vyuo gani???Kwannn udsm na sua tuu?!!!
Naomba mumwambie na TEKU atukumbuke tunahitaji ufadhili wakeKwannn udsm na sua tuu?!!!
Hakika mkuu, hicho anachofanya si haba. Watanzania wenye pesa wako wengi lakini huyu kaamua kusaidia kwa njia hiyo, hivyo alivyovichagua apongezwe. Huenda mwakani akaongeza MUHIMBILI, lazima aende kulingana na ubora wa vyuo. Hata kama ningekua ni mimi, siyo unatotoa ufadhili hata kwa vyuo ambavyo ni vya kutafuta kwa torch.Nadhani atakuwa anaongeza idadi ya vyuo polepole coz mwaka jana alitoa kwa UDSM tu, ila kwa sasa kaongeza na SUA
Samahan mkuu nimepitia hiyo link na nikasoma maelezo yote ila mbona wanaohtajka ni wenye ufauru Wa average 3.8 hii ina maana gan*Mo Scholars Program*
The Mo Dewji Foundation is calling all first-year undergraduate students to apply for a fully-funded scholarship scheme. Students must be accepted to the University of Dar Es Salaam (UDSM) or Sokoine University of Agriculture (SUA).
[emoji830] COST COVERED:_ Tuition fees, direct university costs, housing, meals and field allowance.
[emoji830] ELIGIBILITY:_ Students must demonstrate that:
(a) They are high performing (Division one or two)
(b) They have financial need due to personal circumstances (orphaned or TASAF household), and
(c) they must demonstrate leadership potential based on activities they've undertaken in secondary school.
[emoji830]DEADLINE:_ 20th October 2017 at 11:59PM
For more information, please do not hesitate to contact us:_
[emoji830] _Email:_ moscholars@modewjifoundation.org
[emoji830] _Website:_ MO Dewji Foundation – Mo Scholars Program
Your invited
Kwa hiyo una maanisha migogoro ya vyuo sijui chuo gani bora ,ligi Mara udom vs udsm ,Saut vs udsm , sijui udsm vs SUAHapo sasa ndio vyuo vingine vijifunze na kuweza kujitathmin kwanini amevichagua vyuo viwili hivi na kaviacha vingine kama hiki nnachosoma mimi. Na mwakani atafata muhimbili tu alafu mwaka kesho kutwa utakuta mzumbe sasa hii safu mpka itukute sisi wengine huko ni vizazi na vizazi.
Kiukweli hata ningekua mimi ningeanza na vyuo hivo hvo kama mo anavyofanya, nakupongeza sana mo Kwa kuweza kusaidia wananchi wako. Ubarikiwe sana mo.
hapana mkuuVIPI KWA ANAE ENDELEA NA MASOMO PIA ANAWEZA APPLY