God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
weka Full modelHabari wakuu.
Katika pita pita zangu nimekutana na hii modemu sema sijaiona walau nii google niione specification zake ila ina 3G/4G.
Nilitaka kujua ni shi ngapi?
Waliowahi zitumia je zinafaa ku flash? maana lengo langu ni kutumia mitandao yote.
model sijaona mkuu hata hawajaiweka picha.weka Full model
zantel siku hizi wanauza hizi
D-Link DWM-222
TZS 49,000
Inafaa kuflash bila ugumu wowote?zantel siku hizi wanauza hizi
D-Link DWM-222
TZS 49,000