K Kazabuti Member Joined Feb 23, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Sep 3, 2011 #1 Wana jamii nisaidiene kama kuna any apdat ya software ya kuanilock modemu hizi pia kama kunamwajamii mwenye software ya Huawei modem unlocker 5.7.7 nimejaribu 5.81 nimeunlock temporary. :hail:
Wana jamii nisaidiene kama kuna any apdat ya software ya kuanilock modemu hizi pia kama kunamwajamii mwenye software ya Huawei modem unlocker 5.7.7 nimejaribu 5.81 nimeunlock temporary. :hail:
e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Sep 3, 2011 #2 mkuu mpaka sasa hamna software ambayo inaweza kui unlock permanently hz modem mpya zilizo kuwa customized ata hyo version ya 5.7.7 ni temp 2.
mkuu mpaka sasa hamna software ambayo inaweza kui unlock permanently hz modem mpya zilizo kuwa customized ata hyo version ya 5.7.7 ni temp 2.