Nina modem ya Airtel na zantel, lakini nikiweka kwenye ubuntu hai-access internet hivi hii ni kwanini?au inabidi ni-install wine niweze kuinstall?kwani kwenye window software installation inakuwa auto. How to proceed
Unatumia version gani ya ubuntu?
Kifupi ni kama alivyosema Edson, unachomeka modem yako kisha kwenye icon ya network unaclick na una add modem yako, haina kuchakachua