Ukiandika free PSD mockup kwenye google zinakuja za kutosha chief, take your time pitia kila website utapata za kutosha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiandika free PSD mockup kwenye google zinakuja za kutosha chief, take your time pitia kila website utapata za kutosha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili Kuattach logo yako kwenye hio mockup unafanya kureplace logo/clip art (smart object) husika unayoikuta kwenye hio mockup then unaweka yako.Hivi zinawekwaje
Emaphakadeni
Heb nipe keyword ya kusearchia youtube plsIli Kuattach logo yako kwenye hio mockup unafanya kureplace logo/clip art (smart object) husika unayoikuta kwenye hio mockup then unaweka yako.
Unatumia Photoshop mkuu. Ukiwa na mda fanya kupitia YouTube kuna tutorials zinaonesha jinsi ya kufanya hvyo. Ni rahisi sana.
Thanks mkuu.. Ngoja niingie kutafuta nnachokitafutaMbona zipo nyingi sana za free hujaamua kutulia na kua makini haya anza na hii site apa wako vizuri sana
www.graphicsburger.com
Mkuu mbona hii site siielewi?Mbona zipo nyingi sana za free hujaamua kutulia na kua makini haya anza na hii site apa wako vizuri sana
www.graphicsburger.com
mkuu, tupia link ya kuidownload hii appMkuu mbona hii site siielewi?View attachment 1444392