Je kuhusu faida unapataje??Unauza na lipia na ving'amuzi kama azam, startimes na vingine, ila umeme hakuna
hilo salio unaongezaje na wap unaongezea?Elfu kumi ndio mtaji wako, kampuni itakata 1000 tu, ila baada ya hapo hakuna makato tena pindi utakapokuwa unaongeza salio lako
Hiyo elfu kumi unayoweka ni kwenye hiyo account yako, wala haiji kwangu, ukishaweka mtaji wako ndio utaweza kuifungua account yako, ambayo ni tofauti na tigopesa ama airtelmoney au ezypess yako, inakuwa inajitegemea kabisa, wewe utakachotakiwa kukishika ni password yako na kumbukumbu namba yako tu, ambazo ndizo utakazokuwa unazitumia muda wote kuingilia hiyo account na unapotaka kuongeza salio lako pale utakapohitajiNakutumia namba kwa pm ila nitatumia kwanza nipata uhakika baada ya muda nakulipa elfu 12.
Nikishauunganisha, kuna namba ambazo ntakupatia kama kumbukumbu namba zako pamoja na namba ya kampuni, ndio utakapoweka hiyo hela, yaani ndio utakuwa umeweka mtaji kwenye hiyo account yako, ntakupa password ambayo wewe utaibadilisha utaweka unayoijua wewe mwenyewehilo salio unaongezaje na wap unaongezea?
Salio unaongezaje? Na wapi unaongeza? Bank? Kwako? au kwa mpesa au tigo pesaHiyo elfu kumi unayoweka ni kwenye hiyo account yako, wala haiji kwangu, ukishaweka mtaji wako ndio utaweza kuifungua account yako, ambayo ni tofauti na tigopesa ama airtelmoney au ezypess yako, inakuwa inajitegemea kabisa, wewe utakachotakiwa kukishika ni password yako na kumbukumbu namba yako tu, ambazo ndizo utakazokuwa unazitumia muda wote kuingilia hiyo account na unapotaka kuongeza salio lako pale utakapohitaji

Hiyo kamisheni unayopata, unauwezo wa kuendelea kuiuza kama kawaida pale salio lako linapokuwa limekwisha, ila kuitoa kama pesa kawaida huweziUkishafungua acount na biashara kuendelea na baadae umepata faida, je ukitaka kutoa pesa unatoaje??