Mobile saga



Lakini Yesu si ndio Nabii Issa?

kakufundisha nani! kafanye hili zoezi utajua tu! ukisikia, kiti kiti kiti....Kemea kwa jina la issa toka pepo, kama halikurukia shingoni! lakini kemea kwa Jina la Yesu, utaona linalalama na kuchimba!
 
Acheni ujinga, tujadili mambo ya msingi.
 
kaka yesu na issa ndie huyohuyo ni sawa na ibrahim na abraham,ukikataa we kataa tu lakini ukweli utabaki palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…