mobile data limit ina effect gani katika simu pamoja na backup?

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
Wataalamu wenye ujuzi na hizi simu, naomba kuuliza:
nina android yangu ambayo kwenye setting ukiingia kuna sehemu pameandiikwa Mobile data..ina graph ilisetiwa mobile data 2GB lakini hivi karibuni imekuwa ikitoa onyo kuwa data zime exceed limit.

sijajua data limit ina-implication gani kwenye hizi simu?, na hii warning itaathiri vipi simu manake sijachukua hatua yoyote mpaka sasa?,
na je nikiondoa set mobile data limit. nakuweka off. Simu yangu itapata tatizo gani baadaye?

simu ni Vodafone Smart 4mini. Ambayo nilifanikiwa kui-crack mtaani, hivyo inatumia line aina zote.
Pia nilitaka kujua ikitokea nimefanya backup je itaathiri nishindwe kutumia Line yoyote tena?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…