Mo29 ni siku sitawaikuisahao

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,950
Reaction score
3,815
Siku ya jumatano tarehe 29 october mwaka 2025,itabakia historia maishan mwangu kwa kuponea kwenda israeli. Nilijikita kwenye maandamano ya vugugu la gen-z,ambao tulipinga uchaguz huo.Ghafla maandamano yalibadilika na kuwa kisiwa cha mauti polisi wakatili walianza kutufyatulia risasi bila huruma.Ikawa n mguu niponye,polisi waliua wanainchi bila huruma. mimi nilipata risasi mbili moja kwa bega na nyingine kwa mguu.Ila nilihuzunika nilipotazama wenzangu walivyouwawa kikatili.
nilihuzunika ila nilimshukuru mola kwa kunirehem,na kunisuru na israel,saiv ningekuwa sipo ten dunian.
 
We si shujaa
Kufa unaitafuta haki bila wajibu ni jambo zuri wala usilaumu
Siku nyngne yakitokea kuwa mstari wa mbele ufe bila wajibu ili damu yako iwe wino wa ukombozi wa waliopo gerezani
 
happy birthday gentleman
 
 
Pole sana mkuu, tungependa kuja kukutembelea kuona hayo majeraha begani na mguuni.
 
Upo bado duniani sawa,lakini humu duniani unafanya kipi cha maana au muhimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…