Ashazoeleka kwa longo longo ,usajili ushaanza mwisho utaona kaokoteza wachezaji free agent! Awekeze mzigo kununua wachezaji wa maana ,hamuoni Engineer alivyowekeza mabilioni kwa kina Ki ,Pacome etc?
Hapo UTOH na baadhi ya mashabiki maandazi wa simba watakebehi sana Kwa sababu hawapendi kusikia alichoongea tajiri......Ili fitina na matusi yao yaendelee kudhihilika mbele ya wanasimba uchwara wasio na misimamo na timu yao.....
Kwa hiyo unataka mashabiki wote wa simba wawe mbumbumbu! Yaani siku ya uchaguzi unawaletea Manzoki awasalimie, na wenyewe wanashangilia! Na kura unapata.