Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,002
- 7,319
TapeliAmeyasema hayo baada ya kukutana kocha wa Fadlu daviskwa Mazungumzo ya kuboresha kikosi kwa msimu Ujao
Ubaya ubwela Season 2 tutapiga tuueView attachment 3408396
Gentamycine njoo upige kichwani bado anadanganya watu.Ameyasema hayo baada ya kukutana kocha wa Fadlu daviskwa Mazungumzo ya kuboresha kikosi kwa msimu Ujao
Ubaya ubwela Season 2 tutapiga tuueView attachment 3408396
GSM namuelewa sana anaposemaga "yanga bingwa"Ameyasema hayo baada ya kukutana kocha wa Fadlu daviskwa Mazungumzo ya kuboresha kikosi kwa msimu Ujao
Ubaya ubwela Season 2 tutapiga tuueView attachment 3408396
Part One iliishaje?Ubaya Ubwela 'Part two' uko njiani..!
Fainal ShirikishoPart One iliishaje?
Sio kama ni CCMMo ni kama Ccm! Uongo uongo mwiiingii
Part One iliishaje?
Porojo tu kama kawaida1. Kupanda Ubora Kwenye rank za CAF Kutokea nafasi ya 7 mpaka ya 5.
2. Kufika Fainali ya CAF CC
3. Kufanikiwa kuvuka hatua ya Makundi Michuano ya CAF
Niendelee kutoa iliishaje ' Ubaya Ubwela ' part one.?
Upande Wa pili ndo hatujui ile misemo iliyeyukia Wapi!
Nyie hamuogopi? Gusa achia twende kwao.! na msemo Gani vile? baada ya hapo mkabeba ' vindoo vya mchongo ' Kwa kusaidiwa na Saa100 na Kikwete.
Kule CAF hakuna influence ya saa100 wala JK.. mkaangukia pia Kwa Mc Algers