Wakuu habari za jioni wazima wote.!!Ok twendeni kweny mada husika nchi yetu ya Tanzania imekutana na misiba ya watu maharufu zaidi ya watu 3 kama si wa 4.
Tunavyojua tukio la msiba ni jambo ambalo la kudhunisha sana mfiwa akifiwa anatakiwa kufarijiwa na watu ambao wanamfahamu au wanajua au wanamzunguka.
Lakushangaza sasa tunatajiri katika nchi yetu yy ni mtu mkubwa sana anaongoza kwa utajiri Tanzania anaitwa MO uyu jamaa mbn atumuelewi watanzania wenzake yy alitekwa tulipaza sauti na kumuombea apatikanike ila kafariki Luge ajaenda wala ajaongea chochote kile kafariki Kibonde ajaenda wala hata kupost tukasema sawa.
Lakini kafariki Mengi tajiri mwenzake hata kwenda ajaenda hata kupost ajapost yy yuko na simba tuu mbn tunamuona kama vile mbaguzi au kwakuwa wanaokufa ni weusi sio waahindi mbn apost chochechote wala kuguswa kwann anakuwa hivi au watu walifariki ana mabifu nao anaugomvi nao aisee Uyu tajiri MO tuna shindwa muelewa Watanzania mana tumezoea nchi yetu ya upendo na Amani tunajaliana katika shida na raha...