Mo Ibrahim yaenda kwa Msudani nilifikiri JK ataipata

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Jamani kuna mwenye taarifa ya zawadi ya Mo Ibrahim.
 
Mods can you please change the heading it is not from Sudan but it is the Former Cape Verde President Pedro Verona Pires.
 
JK hajamaliza muda wake bado na pia sidhani kama anastahili nchi bado maskini,rushwa imekithiri
kwa lipi jema alilofanya la kustahili hiyo zawadi?? mamuzi madogo tu ya kuwatimua mawaziri wala rushwa
na kiongozi wake wa PCCB hajawatimua sasa ana mazuri gani??
nadhani mama nyerere angepewa hiyo zawadi kwa niaba ya mumewe mwl nyerere
 
Duh...watu wengine Bwana...hiyo heading yako mbona haipo kama swali?
 
Jk angekuwa alikubali matokeo kuwa uchaguzi wa 2010 alishindwa angekuwa anaheshma sana Africa na dunia nzima na angepata zawadi ya Mo ibrahim sasa coz alishindwa kufikiria hili na kashindwa hata kujenga uchumi na huduma na maisha bora kwa wananchi basi ndo atapotea kabisa baada ya kumaliza uongozi wake na zawadi ya Mo Ibrahim asahau.
 
Huwa sipendi kabisa kuwalaumu mods ila thread kama hii!? Mmh!?
 
Hii tuzo wanapata viongozi ambao wameshaondoka madarakani... Kikwete hana sifa hizo bado
 
JK hatapata tuzo yoyote zaidi ya udaktari wa heshima anaopewa na vyuo vyetu hapa Bongo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…