Mo Dewji Shikamoo wakati GSM wakidhani wametukomoa Simba SC kwa Kudhamini Ligi Kuu kwa Tsh 2.1B, Wewe Ijumaa unadhamini MO 29 kwa Tsh 3B

Kiuharisia wao ndio wanaofanya ushindani kwa dewji family

Wanasahau kuwa hii ni familia ya kisoka
 
Acha matajili washindane kuweka mzigo timu nazo zipate mishahala ya kuwalipa wachezaji
 
Ishu ni hivi timu ya mo itakuwa inatangaza biashara ya hasimu wake mkubwa kibiashara, yani mo akilala akiamka anaona nembo ya mo29 kidogo juu mgongoni halafu la GSM kubwa kweli kweli lipo kifuani
 
Ishu ni hivi timu ya mo itakuwa inatangaza biashara ya hasimu wake mkubwa kibiashara, yani mo akilala akiamka anaona nembo ya mo29 kidogo juu mgongoni halafu la GSM kubwa kweli kweli lipo kifuani
We zuzu gsm sio main sponsor wa simba wa ligi kuu hawez kukaa kwenye jezi ya simba
Labda aidhamini simba kipindi Mo ameuza hisa zake au ndio main sponsor wa ligi swa bwana uto
 
Nzose Masingise Mbataaz na Haji RanaMa wakiona iyo chapa ya MO29 ktk gujezi la yanga lile la vibwengo nahisi Ranama Haji atazimia
 
Na mimi tajiri wa Mbeya City Fc namwaga mabilioni yangu ya dola kudhamini Formula 1 zifanyike bongo kwa mara ya kwanza
 
unateseka sana na GSM dada??
 
Akili za Makolo bana ujui kwamba ikiwa hivyo itakuwa poa sana kukuza ligi yetu na vilabu vyetu.

Umeandika kimbea sana
 
tangu lini wewe ni msemaji moo
 
Andikeni basi vitu vya maana mara moja moja....ndo nini hii sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…