Azam bado hajaanikiwa, na sasa hivi wameshaingiza usimba na uyanga ndani ya Azam, tusidanganyane, Tanzania ni Simba na Yanga.Mo ! Hii si mara ya kwanza kuonesha dhamira hii.Bahati mbaya itamchukua muda sana wenye klabu kulielewa hili somo. Pia ningemshauri anunue klabu nyingine awekeze ,ikifanya vizuri washabiki tutakuja tu.Hata mwenye Azam nadhani aliwahi waza kama yeye ikambidi aanze kivyake! Asisahau wale makomandoo wataishije?!
Kama mfanya biashara, hatafaidika! Ingekuwa nchi kama kenya au uganda angefanikiwa maana hamna timu kubwa, akianzisha timu hapa bongo ndani yake atake asitake usimba na uyanga utakuja tu!Angeanzisha club mpya tu
Naona wazee wa KAFUNGWA KAFUNGWA TENA mnasali Mo asifanikiwe!Umeona mkuu huyu jamaaa anataka kujitajirisha kupitia sis mikia
Hauujui mpira ndo maana, FANBASE!!Why Simba? Huyu jamaa si alikuwa na club yake - sijui iliitwa "leon"? Ilimshinda? Why asianze kama Bakhresa na Azam? Ameona nini?
Na katika miaka zaidi ya 70 ambayo simba na yanga zimekuwepo hakuna kitu kikubwa cha kujivunia katika soka wala michezo mingine (maana yanga wanajiita SC - sports club).Azam bado hajaanikiwa, na sasa hivi wameshaingiza usimba na uyanga ndani ya Azam, tusidanganyane, Tanzania ni Simba na Yanga.
club ina miaka zaidi ya 70 maendeleo sifuri..bora mo apewe hiyo timuNaunga Mkono Simba Kubaki kama ilivo. Kama Dewji ana Talent za uongozi na yeye ni mwanachama wa simba anaruhusiwa kuogombea Uongozi ili afanye maendeleo anayo kusudiwa. Njia Nyengine ni kui sponsor Simba kwa udhamini wa muda mrefu .
Kuuza Simba kwa yeye kuimiliki hilo haliwezekani. Mimi ni mwanachama wa simba na mtu wa kwanza kwenda mahakamani kupinga hatua hii.
Simba ni timu ya wazee wetu wa Dar es salaam ..Pamoja na Yanga na Coastal Union na African Sports zina Historia za kipekee katika siasa za nchi hii tangu enzi za Kugombea Uhuru.
wazee wale waliziongoza timu hizi kwa mafanikio makubwa na ikawa ndio chachu ya maendelo ya Footbal Tanzania.
Simba ni Priceless..huwezi kuithamini kwa fedha kabisa. Ni club ambayo imeweza ku survive zaidi ya Miaka 70 ya dharuba kwa muundo wake huu huu uliopo ambao ni kuwa chini ya wanachama na wapenzi.
How much is share ya Club hii ?'
Na jee nani atakua beneficiary wa hizo share Jee wajukuu wa waanzilishi wa Simba au matapeli kina Hanspope na Aveva ?
Ni wa zi Simba sio Africa Lyon ambayo Dewji ilimshinda kuindesha kwa sababu moja tu..hakua tayari kuwekeza kama alivo ahidi.
Tunamshauri yeye na wote wanaopokea Rushwa waache ndoto zao halitawezekana kabisa hili.....bora simba ife kabisa kuliko kuuziwa mtu mwenye malengo ya kuifanya simba brand ya biashara yaek. Na hakika Tunaomba TAKUKURU Wachunguze wale wote wanaoshabikia hili kwani kuna kila dalili wanapokea rushwa kufanikisha mpango huu haramu
SIMBA NI YA WATANZANIA WAPENZI HAIWEZI KUUZWA NA HAITAUZWA..
azam imefanikiwa sana kulinganisha na simba na yanga zenye miaka zaidi ya 70 mafanikio zeroAzam bado hajaanikiwa, na sasa hivi wameshaingiza usimba na uyanga ndani ya Azam, tusidanganyane, Tanzania ni Simba na Yanga.
Sema ktk kipindi cha miaka 10, ila Azam haina mashabiki, unaowaona ni wa mkopo.azam imefanikiwa sana kulinganisha na simba na yanga zenye miaka zaidi ya 70 mafanikio zero
eti y ako...y ako umewahi kuchangia nini weweMo tafadhali tuachie simba yetu
We ulitaka nije nitangaze hapa kuwa nimewanunulia simba chapati walivyokuja mbeya kama alivyofanya mwina kaduguda kudai pesa yake ya chapatieti y ako...y ako umewahi kuchangia nini wewe
mbuzi wewe...mo ametoa mabilioni kwa simba zaidi y ako wewe...he knows.We ulitaka nije nitangaze hapa kuwa nimewanunulia simba chapati walivyokuja mbeya kama alivyofanya mwina kaduguda kudai pesa yake ya chapati
Mbwa wewe huu mchezo auitaji hasira,sisi simba atumuhitaji aende african lyonmbuzi wewe...mo ametoa mabilioni kwa simba zaidi y ako wewe...he knows.
Mpira kwa sasa ni biashara sio upuuzi wako