kwani nani hajui hao ,ligi ikianza kelele kibao ,mwaka jana waliongiza ligi zaidi ya point 10 wakafika wapi ,ligi ndo imeaza draw tu ya Simba kelele kibao
Mwamedi alidhani mpira ni sawa na entapraizesi yake ile. Huku kunahitaji mioyo ya chuma... Makolo wakipoteza gemu kama tano hv mfululizo walahi atavitoa na vile viberiti kwenye jezi zao