Mkuu ndo mana nikasema tuna kikosi kipana chenye uwezo wa kucheza ligi tatu kwa wakati mmoja. Hebu angalia timu ina benchi kama hili; Tshabalala; Mlipili; Ndemla; Mzamiru; Mo Ibrahimu; Niyonzima: Salamba n.k huogopi tu Mkuu? Kwenye kila nafasi tuna option zaidi ya 2.Simba timu ya kawaida sana acha porojo mkuu! Wale mafaza mliosajili baada ya mechi 10 tu hoi!
Simbaaaaaaaaa [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Alipo Simba Sports Club, Tupo
Nguvu moja, Nguvu ya Jua.Simbaaaaaaaaa [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Mkuu ndo mana nikasema tuna kikosi kipana chenye uwezo wa kucheza ligi tatu kwa wakati mmoja. Hebu angalia timu ina benchi kama hili; Tshabalala; Mlipili; Ndemla; Mzamiru; Mo Ibrahimu; Niyonzima: Salamba n.k huogopi tu Mkuu? Kwenye kila nafasi tuna option zaidi ya 2.
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] wakae pembeni tuNguvu moja, Nguvu ya Jua.
Acheni kutuwekea mataputapu yenu, tunaangalia timu ya Taifa
Acha kuota, kwani kuna anayecheza mpaka miaka mia? SimbaNguvuMojaSimba timu ya kawaida sana acha porojo mkuu! Wale mafaza mliosajili baada ya mechi 10 tu hoi!
Kuna msimu ulipoteaga humu we jamaa tukahisi kuna tatizo, kumbe upoSalamu wanamichezo.
Leo ndo ile siku tuliyokua tukiisubiri kwa hamu sana, pale Mnyama mkali kabisa mwituni, Simba SC atakapokua akipambana na timu bora kabisa toka nchini Kenya, AFC Leopards mida ya saa 12 kamili usiku.
Ikumbukwe kua Simba SC ya msimu huu inauwezo wa kushiriki ligi kuu za Kenya, Uganda na Tanzania kwa wakati mmoja na pote ikachukua ubingwa, na hii inatokana na ubora na ukubwa wa kikosi chake kwa sasa. Hivyo kukosekana kwa baadhi ya wachezaji si pengo hata kidogo.
Mara ya mwisho Mnyama alipokutana na hao jamaa wa Kenya, wakiwa katika kiwango bora kabisa aliwagonga nne kavu.. Leo naiona mvua ya magoli.
Pia ule mchezo wa Timu ya Taifa ya Uganda a.k.a The Cranes dhidi ya wachezaji toka nchini Tanzania.. ambao utarushwa mbashara kupitia kituo cha ZBC 2 utauona live kupitia Big Screen iliyopo uwanjani.
Karibuni Taifa Stadium, Kwenye Show Ya Mnyama.