Nina mihogo kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2 lipo mlandizi ninatarajia kuvuna mwezi wa saba ni muhogo aina ya ndope natafuta mteja atakaye nunua mihogo yote au hata heka moja sio mbaya shamba lipo umbali wa km 2 toka barabara ya morogoro.
@ Tozi25: kama hujui kitu au huwezi kutoa msaada juu ya jambo husika sio lazima kuchangia unaweza kupitia na kuacha sio swala la kuchangia mambo ya kebehi. Tunaharibu jukwaa.