Mnishauri......!!! Nimsaidieje shemeji yangu.......?

Hii ndiyo shida ya mwanamke kutokuwa na ratiba ya kuiombea ndoa yake...... Maana katikati yawapendanao shetani lazima aingilie kati na ndio matatizo kama haya hutokea.

Akumbuke kuiombea ndoa yake na akumbuke kumuombea mume wake, haki ya Yesu! lazima ndoa yao itakuwa ya furaha na amani Tele...... Hebu tuigeni mfano wa mwanamke Abigaili
 
Lady doctor ushauri wako mzuri kweli tatzo n kama anaamini katika uyasemayo na uyasemavyo.
 
Last edited by a moderator:
unajua ss hv mwanamke ukionekana golikipa utanyanyasika tu na hutakuwa na la kufanya!!!
Huyo mwanamke kayapenda hayo maisha coz 15yrs ni muda mrefu sana na kama ikitokea hajapigwa atalalamika tena kuwa mme wake hamgusi so take ur tym achana nao!!!!
 
Miaka 15 kavumilia yoote hayo..........aendelee tu kuvumilia

sometimes that's all it takes to be a woman and as along as TILL DEATH TEAR US APART is concerned

Huyo mwanamke hana pa kwenda hata kama ni mapenzi sio hivyo TOO MUCH IS HARMFULL!!!!
 
Aombe talaka tu..kamvumilia vya kutosha..hii sio karne ya kuvumiliana
 
1. Kwanza mpe pole Shemeji yetu.
2. Ampe YESU maisha yake
Kwa ninavyojua mimi, YESU ni Mwanume wa Wanaume, atamsaidia kuiponya ndoa yake, atampata tena mume wake.
 
Mkuu hebu jaribu kumuuliza huyo dada yeye anaonaje, ie anafikiria kufanya nini. Kuna watu wengine hupenda kusumbua wenzao ili mradi wanawajua vema wenzi wao na hata hayo matatizo yao ni ya kila siku yaani hakuna jipya. Sipati picha 15yrs kwenye ndoa yenye migogoro mmmmh . Usitoe ushauri wowote bali muulize tu yeye anahisi nini kifanyike juu ya hayo matatizo ya kudumu ya ndoa yake. Si kila wakati mvumilivu hula mbivu , pia jaribuni kuchunguza pengine huyo kaka ana matatizo ya akili au anatumia ukorofi kama self defence kuficha mambo yake machafu.
 
Bible inaxema enyi wanawake watiini waume zenu na nyi wanaume wapendeni wake zenu.Tena inaxema Mungu anachukia waachanao
Bible "inaxema" au "inasema" sipendi hata kidogo huu uandishi...unaboa!!!!!
 

.........
Tindikali haipo?????????
 
watu wamekaa 15yrs pamoja, kuwa makini sana usjekuujutia ushauri wako baadae, wanaweza "kwa pamoja" kuja kukuona kama adui namba moja wa ndoa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…