neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 Jan 26, 2015 #1 Habari wadau, naomba kufahamishwa utaratibu wa kukodi kiwanja mnazi mmoja opposite na peacock kwa matumiz binafsi kwa maana ya kwamba sio maonesho ya serikali. Ningependa kujua gharama zipoje na taratibu zake... asante
Habari wadau, naomba kufahamishwa utaratibu wa kukodi kiwanja mnazi mmoja opposite na peacock kwa matumiz binafsi kwa maana ya kwamba sio maonesho ya serikali. Ningependa kujua gharama zipoje na taratibu zake... asante