Mnawezaje kula wali?

Umetafakari kwa kutumia mfumo gani kuleta agenda kama hii!
Ulemavu wa kimaumbile katika tissue za binadamu na kupelekea kutoweza kufanya jambo fulani, unaweza kuuliza swali linalotokana na kushindwa kwake?

Kwani mamako mzazi ulipomuuliza utotoni ilikuwaje na akakujibu, haikutosha kukuelewesha hadi uje uanze kushangaa watu kula chakula ambacho wewe huwezi?

Nilitaka nikwambie kitu, lakini ngoja niishie hapa.
 
Sasa kisa wewe huli jinsia imeingiaje hapo? Au vitu ambavyo wewe hufanyi ndo wanaume wote wavifuate, mpaka allergy zako?
 
Huujui wali hasa ule wa mbeya grade A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…