Mnatumia nyembe gani?

Mbona kuna vimashine vizuri tu vya kunyolea vinauzwa na wamachinga shing 15,000 tu (kama sijakosea). Mi nilinunua nadhani kina miaka zaidi ya 8 sasa. Kinatumia betri ndogo mbili.
 
Wewe ni mhenga mwenzangu.Mpaka Nacet chapa mamba unaikumbuka.
 
Siku hizi wajanja hawatumii hayo mabati.
Mambo yote ni kwenye Brazilian wax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…