Mnapopendwa pendekeni

True love huwa linaangukia kwa watu wenye akili timamu ya kuelewa umuhimu wa kupendana ila wabongo wengi ni mitambo

true, watu wanachukulia mahusiano are just like an art, kwa sababu hawataki kuishi realities
 
Hebu rejea swali langu maana naona umejibu nisichokuuliza...

Labda nirudie swali kwa lugha nyingine...

Ni nini malengo yako kwa huyo msichana uliyenaye?
Update: Sa hivi tunafamilia aisee
 
kumbe unajua hpa ndo mwnzo wa kchepuka.? lol.
 
Kama hilo ni lengo lako then start acting like a real gentleman...

Wanaume wanaotarajia kuoa huwa wanawashape wake zao watarajiwa na sio wanalalama na kuanza kukimbilia kuwatangaza...

Nimeandika kwa ufupi, hopefully utaelewa...
itakua kaelewa tu. na ukishaoa hzi hbari za kukimbiLia kuandika ugmvo wenu JF sio poa wla nini. ni maoni tu.
 
Unachokisema ndugu yangu ni kweli kabisa ukiwanyenyekea sana hawa viumbe unaweza kufa mfano mimi mpaka kunywa pombe ndo nilipoanzia huko unapenda mtu yeye anakuona bwege siku ukiachana naye ndo ivyo tena wanaume tulivyo na roho ndogo mtu akitaka kurudi unamsamehe
mimi nimechukua tabia ya msikaji wangu mmoja hapana urafiki na mwanamke nikitembea nay wiki moja basi wiki ya pili na mwingine
 
Duh, lakini hiyo siyo nzuri sana
 
Hakuna namna zaidi ya kubadili gia angani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…