Mnaotaka Tundu Lissu aje aseme nyumbani msubirini arudi, sio dhambi yeye kusema popote, sheria iko wazi.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kuna wasiojielewa wachache wanaodai eti wanamlaumu Lisu kwa kusema nje eti arudi kuja kesema nyumbani, wamsubiri atarudi na atarudi kuja kusema yaliyomsibu. Kule nje mwacheni asema ukweli kwa walimhitaji aseme,sio dhambi maana hatatusi mtu na wala hajakashifu nchi. Anachofanya ni kusema uhalisia wa yale yaliyomtokea.

Mtu keshambuliwa mchana kweupe, hakuna aliyekamatwa, CCTV cameras zimeondolewa, bado wakaombwa wapewe msaada na vyombo vya nje wakakataa wakasema kua wao wana uwezo. Sasa kama uwezo upo mboja waliomshambulia hawajakamatwa?

TUFIKIRIE SANA ni kwanini kwa majeraha yote yale mh Lissu hakufa? Kwanini Risasi zililenga tumbo mikono na miguu lakini hazikulenga kichwa wala kigua? Nguvu ya Mungu mwanadamu hana uwezo kupambana nao,ogopa sala za waja wa Mungu.
 
Asante Sana Mkuu MAHANJU
Umemaliza kila kitu.

Mdomo haumsaidii tukio la uhalifu hushughulikiwa na sheria sio kelele kwenye media
 
Back
Top Bottom